VIDEO YA WANAMUZIKI NA WAPENZI WA MPIGA GITAA SHABAN YOHANA WANTED WAKIAGA HUKO GABORONE BOTSWANA KABLA YA SANDUKU LENYE MWILI WA SHABANI KUPELEKWA UWANJA WA NDEGE TAYARI KWA SAFARI YA KUJA TANZANIA. MWILI WA SHABANI UTAWASIRI DAR JUMATATU 9 OKTOBA ALFAJIRI.
MICHANGO INAHITAJIKA KWA AJILI YA KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI KUTOKA DAR KWENDA MICHUNGWANI MUHEZA KWA MAZISHI SIKU YA JUMANNE. KAMA UMEGUSWA UNAWEZA KUTUMA CHOCHOTE NAMBA ZIFUATAZO
0713274747 NA 0763722557, ILI KUFANIKISHA MAZISHI YA MWANAMUZIKI HUYU.
SIKILIZA UMAHIRI ALIYOKUWA NAO KWENYE GITAA LA SOLO KATIKA WIMBO HUU
No comments: