Leo March 18, 2018 Nimeipata hii stori kutoka Ujerumani imepitisha sera mpya ya elimu kwa kuondoa aina zote za ada za masomo katika mfumo wa elimu ya juu, na kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote wanaotoka ndani na nje ya Ujerumani. Sasa wanafunzi wote wanaosoma nchini Ujerumani watakuwa na fursa ya kupata elimu bure, na kufanya kufanya fursa za elimu katika bara la... ulaya na ulimwenguni kwa ujumla.Good News inatoka katika taifa la Ulaya Ujerumani ambapo wameamua kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote kutoka U.S.A na duniani kote.Wakati gharama ya elimu ya chuo kikuu ya Marekani inapoongezeka kwa masomo ya shahada ya kwanza ya kuanzia $ 14,300 kwa vyuo vikuu vya serikali kama UCLA hadi $ 37,800 kwa shule binafsi kama ada ya Chuo cha Harvard, Ujerumani sio gharama kubwa sana kuanza.
Kituo cha runinga cha kimataifa cha ‘BET ‘ kimetoa pongezi kwa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya album yake mpya ya ‘A Boy From Tandale’ kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi kwenye mtandao was iTunes nchini Burkina Faso.Kituo hicho kimetoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika ”Hongera Diamond Platnumz kwa kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi... nchini Burkina Faso kwenye mtandao wa iTunes”.
Jumatano Machi 14, 2018 Diamond Platnumz alizindua album yake ya ‘A BOY FROM TANDALE’ jijini Nairobi nchini Kenya.
Usiku wa March 17, 2018 nchini Uganda zilitolewa Tuzo za Hipipo ambazo zinatolewaga kila mwaka nchini humo na kwa siku ya jana zilitolewa katika Ukumbi wa Serena Hotel ya Uganda na Watanzania wanne ambao ni Alikiba, Vanessa Mdee, Diamond na Darassa wameibuka washindi kwenye baadhi ya vipengele.Alikiba ameibuka mshindi katika kipengele cha Wimbo bora wa mwaka Tanzania Seduce Me, Diamond ameshinda kipengele cha wimbo bora wa mwaka Afrika Marry You na Eneka ikitwaa... Video bora kutoka afrika mashariki, Vanessa ameshinda Msanii bora wa kike Africa Mashariki na Darassa ameshinda kipengele cha Wimbo ulio-hit Afrika Mashariki Muziki… (East Africa Super Hit)Baadhi ya Vipengele hivyo….AFRICAAfrica Song of the Year => Diamond Platnumz Ft. Ne-Yo – Marry YouAfrica Video of the Year => Mafikizolo – Love PotionBest Francophone Africa Act => Toofan – TerreAfrica Best Female Artist => Tiwa SavageBest Song from Western Africa => Davido – IFBest Song from Southern => Africa Roberto – Into YouEast AfricaSong of the Year => Kenya Nyashinski – MalaikaSong of the Year Tanzania => AliKiba – Seduce MeSong of the Year Rwanda => Meddy – SlowlyRwanda Video of the Year => Butera Knowless – UzagarukeEast Africa Super Hit => Darassa Ft. Ben Pol – MuzikiEast Africa Best Video => Diamond Platnumz – EnekaEast Africa Best Breakthrough Artist => Bruce MelodieBest East African Collabo => Sheebah Ft. The Ben – BinkoleraEast Africa Best Female Artist => Vanessa Mdee
Follow our instagram account now by click down here then follow