Sunday, March 18, 2018

WATANZANIA WANNE WAONDOKA NA TUZO ZA HIPIPO NCHINI UGANDA

Usiku wa March 17, 2018 nchini Uganda zilitolewa Tuzo za Hipipo ambazo zinatolewaga kila mwaka nchini humo na kwa siku ya jana zilitolewa katika Ukumbi wa Serena Hotel ya Uganda na Watanzania wanne ambao ni Alikiba, Vanessa Mdee, Diamond na Darassa wameibuka washindi kwenye baadhi ya vipengele.

Alikiba ameibuka mshindi katika kipengele cha Wimbo bora wa mwaka Tanzania Seduce Me, Diamond ameshinda kipengele cha wimbo bora wa mwaka Afrika Marry You na Eneka ikitwaa...
Video bora kutoka afrika mashariki, Vanessa ameshinda Msanii bora wa kike Africa Mashariki na Darassa ameshinda kipengele cha Wimbo ulio-hit Afrika Mashariki Muziki… (East Africa Super Hit)
Baadhi ya Vipengele hivyo….

AFRICA
Africa Song of the Year => Diamond Platnumz Ft. Ne-Yo – Marry YouAfrica Video of the Year => Mafikizolo – Love PotionBest Francophone Africa Act => Toofan – TerreAfrica Best Female Artist => Tiwa SavageBest Song from Western Africa => Davido – IFBest Song from Southern => Africa Roberto – Into You

East AfricaSong of the Year => Kenya Nyashinski – MalaikaSong of the Year Tanzania => AliKiba – Seduce MeSong of the Year Rwanda => Meddy – SlowlyRwanda Video of the Year => Butera Knowless – UzagarukeEast Africa Super Hit => Darassa Ft. Ben Pol – MuzikiEast Africa Best Video => Diamond Platnumz – EnekaEast Africa Best Breakthrough Artist => Bruce MelodieBest East African Collabo => Sheebah Ft. The Ben – BinkoleraEast Africa Best Female Artist => Vanessa Mdee

No comments: