Tuesday, August 22, 2017

KIPOFU WA MAISHA

MSOMAJI HII NI STORY YA KUSISIMUA YA BWANA ERICK MOSHA AMBAE AMEPATA SHIDA SANA KATIKA MAISHA YAKE AKIWA KATIKA SAFARI YA KUTAFUTA  ELIMU MKOANO DODOMA.INALIZA SANA
Ilikua ni asubuhi na mapema ubaridi unaopuliza katika mkoa wa na upepo wa msimu katika mkoa wa Kilimanjaro. Ambapo mama erik na mwanae wakiwa wapo katika hali ya majonzi katika kuagana kwani kijana Erick alikua anaelekea mkoani  Dodoma kwa masomo baada ya kupata nafasi ya kusomea uwalimu kwatika chuo hicho
Mama erik  nenda mwanangu kasome maana elimu ndio kila kitu katika maisha yako (huku akilia )maisha ni magumu sana mwanangu unatakiwa ujitume kadri uwezavyo nitajitahd kuuza ndizi ili usome mwanangu..
Erick nimekuelewa mama yangu nitajituma mama sema najickia vibaya mama kukuacha katika hii hali ya upweke nani atakusaidia hata kukatia majani au kulisha ng`ombe zetu mama yangu?
Mama Erick mwanangu usiniofie mimi huku (akfuta machozi)
Erick sawa mama yangu ila nitakukumbuka sana lakin hatuna budi mama baki salama
Mama alinipa elfu ishirini kama nauli ya mimi kutoka pale kuelekea chuoni udom kwani huko nilipanga kufikia kwa mjomba wangu alieitwa Joshua moshikwani ndie angekua mwenyeji wangu kabla ya kufika chuo. Nakumbuka niliondoka siku ile ndo ilikua mara ya mwisho kumuona mama yangu kipenzi ambae mpaka leo namkumbuka kwani ndie muhimili wangu wa pekee…
Nilibaatika kuzaliwa peke yangu na kulelew na mzazi mmoja Baba yangu aliuwawa wakati bado nikiwa mdogo sana nikiwa na umri wa miaka miwili.siijui raha ya kuwa na baba kama watu wengine. Nililelewa na mama kwa kipindi chote hali ya kuwa hali ya nyumbani ilikua ngumu kwani mama yangu hakuopataga bahati ya kusoma katika uschana wake hivyo alikua mama wa nyumbani na alijitoa sana katika malezi yangu hasa kwenye swala la elimu mama yangu alikuwa akinisih nisome sana ili nikomboe maisha ya nyumbani na kufkia ndoto zangu kwa ujimla.
Nilitoka moja kwa moja nikimuaga mama na kwenda moja kwa moja ambapo nilidandia tatu (daladala)ilionifikisha mpaka  njia panda ya machame ambapo nlisubiri gari znazotoka boma znazoelekea mkoani Dodoma ili kufika kwa mjomba joshua tyr kwa maandalizi ya masomo yangu
Nakumbuka nikiwa njiani nilijinyima kula hali ya kuwa gari nliopanda ilikua mbovu na inasimama mara kwa mara kutokana na ubovu wa safari hiyo.Nilifika mkoani Dodoma majira ya saa 2 usiku nikiwa na njaa sana  moja kwa moja nlielekea katika taxi kadhaa ambazo zilikua karibu na stendi ya mkoa wa Dodoma ambapo niliulizia dereva aitwae Joshua moshakwakua nilikua sina hata simu ya mawasiliano
Kwakua mjomba wangu alikua dereva na alikua maarufu kidogo  maeneo hayo haikua tabu kumpata.Baada ya nusu saa hivi mjomba alifika na alionekana akiwa amelewa akijipiga kifua “jombaa langu limekuja mweshmiwa wa baadae toto pekee la dada yangu” alioneshwa kufurai sana kutokana nay eye na mama yangu kupendana sana . “shkamoo mjomba “ nilimsalimia  lakin alinijibu “shkamoo makelele “ Erick twende zetu kwanza ukapumzike umechoka na safari mimi nina ofa za bia nimeacha huko “ sikumjibu  chochote bali nilionyesha sura ya kukubaliana na wazo lake ambapo nilipanda TAXI yake kuu kuu Nakumbuka sana siku ile katika maisha yangu ni siku ambayo sitaisahau katika maisha yangu  ilikua ni may 16 mwaka 2014 laiti ningejua kama ile siku ingekua  vile basi nisinge hangaika kuitafuta elimu ningalibaki mgombani tu na mama yangu kipenzi.
Tukiwa na mjomba Joshua tunatoka maeneo ya standi ya mkoa Dodoma nikiwa mgeni kidogo nakumbuka tulielekea  magharibi kidogo na stendi mbele kidogo na shule ya sekondari  Dodoma na mbele kidogo ya Bunge la nchi yetu kulikua na mtaa unaitwa makole kama skosei ndipo tulismamishawa na watu wawili ambapo walikua na mwonekano kama abiriA  kwakua nilikua nimekaa siti ya mbele pembeni na dereva  mjomba aliamua kusmamisha gari
“tusiache vichwa pesa ya kufunga hesabu hii mwanangu” aliyasema mjomba  huku akisimamisha gari wale watu walifinguA  mlango na kuingia ndani ya gari walidai kuwa wanataka kuelekea eneo la area d maeneo ya karibu na mlima walitaka kujua bei mjomba aliwambia waandae elfu 5000 maana hata sisi tulikua tukielekea maeneo hayo hayo  bila kusita gari ilirudi tena barabarani na kuanza kuelekea palipotakiwa
Lakini tukiwa njiani Yule abiria wa kiume alipiga simu na kuongea maneno ambayo yalintisha kidogo
“mkuu mzigo tunio lakini viumbe ni viwili andaa mazingira “ kasha akakata simu bila kupata majibu kwa aliempigia au mwitikio  lakini sikujali na nikaendelea kuutazama uzuri wa mkoa wa Dodoma  nakumbuka mjomba aliuliza hali ya mama na watu wengne ambao walikua marafiki pale kijijin alionesha uchangamfu mkubwa pia Nadhani ni kutokana na pombe ilio kichwani.
Tukiwa eneo la ukimya na kama pori eneo ambalo liliitwa area d ghafla tuliona watu watatu wamesimama na kujitandaza  barabarani ghafla abiria tuliokua nao kwenye gari wote wawili wakituambia kwa sauti “simamisha gari mpo chini ya ulinzi” mwanamkwe alimnyooshea njomba silaa ndogo ya moto na Yule mwanaume alitoa panga ambalo aliliweka usawa wa shingo yangu  nilishtuka sana
“hapa asimamishi gari mtu na  leo mmekosea namba  nasema labda tufe woote”  aliyasema hayo maneno mjomba huku akiongeza spidi ya gari straight kuelekea pale wale watu watatu walikua wamesimama  kulizinga gari . nikiwa nimeshikwa na butwaa na nikiusoma mchezo unavokua  nakumbuka wale watu baada ya kuona gari inakuja speed na hakuna dalili ya kusmama waliamua kutoka barabani
“neema uwa huyo mshenzi fyatua ya utosi tumalizee” ilikuz ni sauti ya Yule  mwanaume ghafla gari lilipoteza uelekieo na kuingia porini katika zile purukushani za vitisho. Nikiwa nmapigo ya moyo yanaenda mbio na nikijishkilia vizuri kutokana na kuyumba na mwendo kasi wa gari  niliskia kishindo kikubwa sana katika maskio  ambacho kilipelekea mvurugano ndani ya gari  …..sikumbuki nini kilitokea lakini nlikua nipo chini navuja damu maeneo ya shingo na maumiv makali pia. Nilinitahd kuinuka lakn nilishindwa nilijarib kugeuza kichwa pia niliskia maumivu makali sana . nilijaribu kupaza sauti kuomba msaada lakin niliskia maumiv makali shingoni na pia sauti haikutoka.. nilibaki natokwa na machozi huku nikiwa najihisi kama maskio yangu yameziba………
Mpendwa msomaji usikose sehemu ya pili ya mkasa huu wa kweli wa Erick mosha

Monday, August 21, 2017

NILIKOSEA WAPI JAMANI?


Alfajiri na mapema niliamka. Sikuamka kwa bahati mbaya muda huo bali ilikuwa ndiyo kawaida yangu kila siku. Nilikuwa nikiamka asubuhi na mapema kwa ajili ya kwenda katika mihangaiko yangu ya kila siku.
                Ingawa siku hiyo nilikuwa kwenye mtoka kisha nikachelewa sana kurudi nyumbani, sikuwa na budi ya kujidamka asubuhi na mapema ili niende kazini.
                Baada ya kupiga mswaki niliingia maliwatoni kujiswafi. Nilipomaliza nilirudi chumbani kwangu, nikauramba kama ilivyokuwa ada kila nilipokuwa naelekea kazini.
                Nilichukua suruali yangu niliyokuwa nimevaa jana yake nilipokuwa kazini ili nichukue pochi iliyokuwa kwenye mfuko wa suruali hiyo kwani humo ndiyo kulikuwa na nauli yangu ya kunipeleka kazini na kunirudisha nyumbani.
                “Umeiona pochi yangu mama Chris?” Nilimuuliza mke wangu aliyekuwa kajilaza kitandani kwa wakati huo.
“Hata sijaiona, kwani ulikuwa umeiweka wapi?” Aliuliza.
“Nakumbuka jana nimeenda nayo kazini, lakini nimeangalia kwenye suruali niliyokuwa nimevaa sijaiona.”
“Mh! Sasa itakuwa wapi?”
“Kama vipi achana nayo kwa sasa, acha niende kazini nikirudi nitakuja niitafute vizuri! Cha kufanya sasa hivi nipe shilingi elfu kumi kwa ajili ya nauli.” Niimwambia mke wangu naye akainuka na kunichukulia kwenye droo ya kitanda kisha akanipatia.
                Nilimuaga mke wangu kwa kumbusu kwenye paji la uso kisha nikamalizia kwa mwanangu kipenzi  aliyekuwa bado kalala.
“Kila la heri mume wangu, nakutakia kazi njema!” Yalikuwa ni maneno ya mke wangu kipenzi mama Chris, maneno  ambayo alikuwa akiniambia kila siku nikiwa naelekea kazini.
“Asante mama, na wewe nakutakia siku njema, utamsalimia mwanangu Chris atakapoamka.” Nilijibu huku nikichana chana nywele zangu huku nikijiangalia kwenye kioo kikubwa kilichokuwepo kwenye meza ya kujirembea iliyokuwemo humo chumbani.
                Nilipoanza  kuondoka mama Chris akanishika mkono,
“Ngoja kwanza baba wewe!”  Alitamka maneno yale wakati akiuvuta mkono wangu!
“Nini tena mama?” Nilihoji kwa lugha ya kubembeleza nikidhani kuwa labda mama Chris anataka mambo yetu yale ya mchezo wa kikubwa, maana katika kumbukumbu zangu usiku huo timu zote zilikuwa kambi kwani mwenzangu alikuwa katika sherehe zake za kila mwezi.
                “Hii tai haijakaa vizuri mume wangu, angalia na hii kola ya shati lako shingoni ilivyokaa shaghala baghala, utaenda unachekwa njia  nzima!” Aliongea wakati akinirekebisha huku tabasamu lake mwanana akilitoa.
“Nitachekwa mimi au utachekwa wewe mke wangu maana umeshindwa kunikagua wakati natoka!”
“Mimi sitachekwa  sababu sitakuwepo huko.” Aliongea mke wangu huku akihamia kwenye tai kuiweka sawa.
                Alipomaliza kuyaweka sawa mavazi yangu nilimkumbatia tena kwa mara nyingine na kumpiga mabusu motomoto kisha nikatoka zangu. Nilienda mpaka stendi kugombania daladala, si unajua tena usafiri wetu wa huku Bongo.
                Sikuchelewa kupata gari, nikapanda na kwenda kushukia posta mpya kisha nikaanza kutembea kwa miguu kuelekea ofisi yetu ilipokuwa.
                Nilipofika ofisini nilipigwa na butwaa baada ya kuwakuta watu wamejazana. Kwa haraka haraka nikaanza kuhisi kuwa kuna tukio kubwa ambalo lilikuwa limetokea. Watu walikuwa wameuzunguka mlango huku polisi wakiwa wanarandaranda.
                Maswali mia mia yakaanza kuzunguka katika akili yangu bila kupata majibu. Kwa kuwa nilikuwa tayari nipo kwenye tukio lenyewe, nilipiga moyo konde na kujiambia kuwa muda si mrefu nitakijua kilichojili.
                “Halafu linaonekana ni tukio kubwa sana, yaani mpaka polisi wamekuja!” Nilijiwazia huku nikitembea kwa tahadhari kuelekea ofisini.

ITAENDELEA........

Saturday, August 19, 2017

SHEMEJI NIKUNE VIZURI OOH! NO.2

Image 


ilipoishia sehemu iliopita
 huku machoz yakimlenga kwa utamu  looh!!! hakika ilikua raha  kwa mashemeji hao ambapo walijikuta wakisaahau kila kitu na kuanza kushikishana ukuta na meza ya dining room wakivunjia amri ya sita kwa mara nyingine tena..
 HUSNA "baby shusha suruali basi .. mi nakupendaa nashindwa zuia hisia zangu namwagaa tuu aah!"
LUCAS "Nipo kwa ajili yako mrembo  napenda unavoikatikia loh! mwanamke unayajua wewe " huku akizitomasa chuchu za mrembo husna ambazo zilikua zimechachamaa zilizosimama (chuchu saa6)
HUSNA "oooh!!! shemeji unaniua jamani hii naniliia yako inanikuna vizuri"
Ghafla mlango unafunguka kwa mshtuko anaingia mwanake ameshikilia begi kwa mshtuko kuona yanayotokea dining room uliyo pembeni ya sebule anaangusha simu ya chupa ya maji kwa mshtuko 
AISHA "mume wangu!!!!!!!!!!!!!"
DUH KUMBE NI MKE WA LUCAS NA DADA WA HUSNA  AITWAE AISHA........
 
sasa tuendelee............... 
 
 
LUCAS.. "mungu wang sijui amezimia au amekufa!!"

HUSNA. .. "ngoja nivae tumpeleke hospitali lakini mbona hukuniambia kama anakuja leo"

 LUCAS .. "hapana haikupaswa kurudi leo sema labda alitaka kuni suprize  mke wangu amka"

huku akimtikisa mke wake aisha kwa kumshtua labda angeweza kuamka baada ya kumfumania lucas  ambae ni mume wake halali akiwa na husna ambaye ni mdogo wake wakiwa wanavunja amri ya sita katika sehem ya dining ya kula.... tena wakiwa kileleni

HUSNA " lucas  mimi naomba nikuache wew umepeleke aisha hosptal mimi siwez kwenda na sijui nitaiweka sura yangu wapi ...... " huku husna akiondoka haraka haraka....

husna anamuacha lucas akiangaika peke yake kumpepea mke wake ambae anaonekana yupo kwatika hali ya kutojitambua..na pia hofu kubwa ikiwa imetanda maana waliokuwa wanayafanya sio mema.kilikua ni kipindi kigumuu...
Baada ya muda kama wa dakika 5 hivi aisha anashtukaaa..........

ASHA..."husnaaa" akiita huku akikurupukaaa.... kutoka alopodondokaaa..

Lucas .. "asha mke wangu taratibuu utajaza watu husna ayupo ameondoka "

ASHA "yukwapi uyo shetani mwenzako kweli lucas wew ni waku nisaliti kwa mdogo wangu ndani ya nyumba yangu " huku akilia saana na kupiga kelele

LUCAS "ni shetani tuu tuliza hasira"

ASHA "hapana simu yangu ipo wapi husna awez kunifanyia uwendawazimu hivi nitawauwa nyie .... simu yang ipo wapi niaacheee usiniguse."
huku akitaFta simu yake ambayo ilikua imedondoka kwa ule mshtuko na kupasuka kioo..
 LUCAS "mke wangu...."

ASHA "Shetani wew nani mkeo .. nataka talaka yangu .. na uyo mweznako mliekua mlatiana nae namfataaaaa uko uko "
huku asha akiinuka na kutoka njeeee....lucas amuachii anamfata kujaribu kumpunguza hasiraaa

LUCAS "mama punguza hasira basi sasa unataka kwenda wapi na umepoteza faham mda mfupi tuu em tuliaa"

asha anamsukuma lucas na kuita boda boda anaondoka
"twende  biafra kimbiza haraka" alikua ni asha akimuamuru boda boda akimbize boda ili kuepukan na ushawishi wa lucas wa kutulia nyumbani...
TURUDI UPANDE WA HUSNA...


HUSNA .shosti ndo hvo hapa nimeambiwa dada yupo nyumbani kwa mama analia tuu na mim nimechanganyikiwa hata sijui nitaiweka sura yangu wapi... hapa anantafuta kula kona

JENIFER .. "Sasa rafki yangu hata kama ndo mapenz kwan mlikua mnashindwa kufanyia sehem nyingine .. looo! hapo umebugii  kweli shosti mbo.. imekunigeaaa"

HUSNA "jeny usiseme hvo rafk yangu ilikua bahat mbaya. dada yangu hata nielewa kwa hili"

JENIFER "mm nakushauri ukae hapa utulie mpaka seke seke lipoe maana kama kaenda kusema kwenu unazani utaeka sura yako utaekA sura yako wapi.."

HUSNA "Eheee tena mama anapiga na huyu atakua ni dada asha anatumia simu ya mama maana lucas kaniambia simu ya asha imepasua kioo."

JENIFER. "wewe kwl umenogewa na uyo shemeji yako yaani baada ya yote mpaka naw bado mnawasiliana mbona mpo hivo anakupa nin  uyo bwana?? inanekana anajua mchezo eee?  emu nielezee "

HUSNA.. "Rafki yangu dada yangu anafaidi pale bwana ana karoti tamuu yaan hata selewi we siuna muona alivo  handsome??? lakin ndo hivo ni shemeji yangu ndo nashindwa kujizuia"

JENIFER "Oooh! sasa ndo uji control hisia zako mbona wanaume wapo wengi na skuiz hadi vi ben 10  vipo mama"

HUSNA.."shosti una pombe umu ndani ??ivo vi ben 10 inahu!!"
yalikua ni maongezi kati ya husna na rafik yake jeny ambapo husna alienda kwa rafki huyo kutuliza akili...
UPANDE WA ASHA
Akiwa nyumbani kwao asha akiwa ma mama yake mzaz..   anaonekana analia saana na mama yake akimbembeleza huku akisikitika sanaaa....

MAMA ASHA.." nyamaza mwanangu na ilikuaje uyo mdogo wako akawa anaishi kwako.. ?"
ASHA "Mama mim sielew imekuaje na lucas mm anipe talaka yangu tuu hii ni aibu "

MAMA ASHA "Usiseme hvo we mwana Ndoa ndoanoo"

ASHA "kama ndoano yenyew ndo hii mimi siitak na huyo husna mm na yeye stak tujuane nikimuona ama zake ama zangu"

MAMA ASHA "Balaa gani hili  subabahnna allah!"
yalikua ni maongezi katu ya  mama asha na asha

 UPANDE WA LUCAS
 LUCAS "mpenz mm najua utakua haupa sawa lakin mm nimekumis tayar na simtak dada yako kwanza upo wap naomba tukutane hata hotelin bas tujadiliane tunafanyje"

HUSNA.. "mmh! una maneno matam mpaka umeniloanisha looh! lakin unajua baada ya aya yaliotokea nimeambiwa mama ananisbiri na dada asha anasma atanikomesha"

LUCAS "mim naona hayo tungeonana kuyajadili vizur bwanaaaa  mpenz mm nikuone tuu au ujaimiss"
HUSNA "nimeimiss bas ka book room plz usisahau maji moto and agiza kitimoto npate nguvu si ndie tanu yangu eeH"

LUCAS "hahahahahah!! wewe muislam feki kabisa yaan icho kitimoto unavokipenda mmh!! bas ntakutumia text hotel gan uje na taxi haraka mpenz maan hapa mimi hoi"

HUSNA "oky bye mwah!"
yalikua ni maongezi ya  lucas na husna wakielezeana jinsi gani wakutane na kueneleza starehe zao licha ya yote kutokea maongezi yao ya kimahaba yalioashiria kwamba wamedata sanaa.. mida ilisogea basi husna na lucas wakawa wamekutana hotel fulani wakiwa wanakula raha ... huku asha akiwa katika majonzi makubwa baada ya kuwaona mdogoye na mume wake wa ndoa akiwa anavunja amri ya sita hadharani ...
BASI TUSIKOSE SEHEMU YA 3 YA CHOMBEZO HILI  
KESHOO..
KUJOIN NA WHATSAPP PAGE YETU KWA MACOMBEZO CLICK LINK HII
 










Friday, August 18, 2017

SHEMEJI NIKUNE VIZURI OOH! NO.1



"ingiza yote ooh.. tara tibu yani unaipa raha mpaka natamani dada asirudi safari jamani looh! "

"usijali mpenzi wewe ni wangu tuu mimi kwa dada yako nilikosea na nitatafuta namna yoyote niwe na we na raha hii iendelee oooh.! "

yalikua ni maongezi ya kimahaba kati ya Husna na shemeji yake lucas ambapo walikua wakipeana raha isiyo ya kawaida ambayo iliwafanya waongee maneno hayoo.. Husna ni mwanamke alieumbika saaana hasa sura na ngozi yake nyeusi ya kuvutia na bila kusahau umbo lake mwanana lililomfaya kila mwanaume amtolee mate na kutamani kumuonja bila chumviii.. 
Huku lucas akijikuta anashindwa kumvumilia urembo wa dada huyu na anahatarisha ndoa yake kwa kujikuta ananogewa na utamu huo.. 

"baby dada anarudi wiki ijayo lakini mimi sitaki kukupoteza "

"ondoa shaka mrembo wangu husna hapa mimi siwez kukuacha pale nilikosea tuuu..naomba style nyingine mpenzi"  

"ooh baby unanipa raha kwa maneno yako matamu na mauno pia " 

"na hapa hatulali  hata kidogo maana kwa raha hizi mimi silali"

"hahahahahaha ooh lucas hapa halali mtu hii damu changa baba  ooh! nishike na hapa  and kiss me baby oooh yes!

ilikua ni deka na maneno matamu ya mashemeji hawa ambapo walijikuta wanajivunjia amri ya sita kwa maraha kama hayoooooooo... .mh!!

Basi pakakucha ambapo wmashemeji hao walijikuta  wamelala usingizi fofofo (usingizi mzito) ikiwa ni majira ya saa 9.15 asubuhi Husna anashtuka na kumuamsha licas ambae alikua amejilaza pembeni yake baada ya uvunjaji wa amri  ya sita usiku mzima 

HUSNA"baby amka mda wa kazi na umechelewa"

LUCAS "holy!  shit muda umenda namna hii.. husna mpenz naomba niamke"

HUSNA "haya bas fanya haraka nikuandalie chai"

LUCAS "hapana mpenzi ntakunywa cafetaria ya ofisini" huku akikurupuka kitandani anakimbilia bafuni .....
HUSNA "hapana sikubali uondoke hapa bila kunyw chai niliokuandalia " 
 aliyasema husna ambae alikua akiamka akiwa na chupi peke yake akitoka chumbani kuelekea jikon kwa ajili ya kuandaa chai  ambayo alitaka lucas ainywe kabla hajatoka kwenda kazini ... 

Lucas alijiandaa haraka na kuchkua begi lake ili kutoka nje kuelekea ofisini ambapo alikua amechelewa saaa! 
"bayb umeona funguo za gari wapi?" alikua ni lucas akimuliza shemejie husna huku akitafuta funguo ya gari kila mahali bila mafanikio.. 
"kaa mezani kunywa chai alafu nitakwambia funguo za gari zipo wapi ee sawa my heart"
LUCAS "acha utani banaa mpenz nimechelewa sana" huku akielekea alipo shemejiye

HUSNA "Kaa hapo unywe chai mm sitakuonesha funguo" huku akimlegezea macho kama ishara ya kumshawishi anywe chai 

LUCAS "sawa bas mm nakunywa ila staki kuendelea kuchelewa" 
lucas anakaa na kuanza kunywa chai  huku husna akiepeleka mkono wake kupapasa kwanzia kifuani kwa lucas akishika chini mpaka alipo ifikia zipu ya suruali ya lucas kisha anaifungua na anasogeza boxer kidogo na kuitoa (najua unaelewa nini namaanisha) anaitazama kwa mahaba mazito anajikuta anaanza kuilamba.. huku licas  akistaajabu kidogo kisha anauliza 

"unafanya nin tena mpenz wangu husna ooh!"

HUSNA "na mimi nakunywa chai yangu baby yaan sitaki kula chochote zaidi ya hii apa" Huku kiinyoynaa

LUCAS "but mpe......ohh!"

HUSNA "SHHHHH! kunywa chai yako uwahi  kazini na mm ninywe chai yangu pia " hiku akisogezaa upande wa chupi na kianza lengesha ili aikaliee mmmmmmmh! hakika husna alikua na mahaba saaanaaaaa...
LUCAS "mhhhh!! baby utaniua kwa mahaba haya" 
akiongea kwa sauti ya chini huku akuachilia kitafunwa na kukamata uno la mrembo husna lililokua limejaa nyama za nyonga na lenye wepes wake katika kukatikia naniliu ....

HUSNA "baby mbona umeacha kitafunwa mpnzi ooooh yoteee shemeji "

 huku machoz yakimlenga kwa utamu  looh!!! hakika ilikua raha  kwa mashemeji hao ambapo walijikuta wakisaahau kila kitu na kuanza kushikishana ukuta na meza ya dining room wakivunjia amri ya sita kwa mara nyingine tena..
 HUSNA "baby shusha suruali basi .. mi nakupendaa nashindwa zuia hisia zangu namwagaa tuu aah!"

LUCAS "Nipo kwa ajili yako mrembo  napenda unavoikatikia loh! mwanamke unayajua wewe " huku akizitomasa chuchu za mrembo husna ambazo zilikua zimechachamaa zilizosimama (chuchu saa6)
HUSNA "oooh!!! shemeji unaniua jamani hii naniliia yako inanikuna vizuri"
Ghafla mlango unafunguka kwa mshtuko anaingia mwanake ameshikilia begi kwa mshtuko kuona yanayotokea dining room uliyo pembeni ya sebule anaangusha simu ya chupa ya maji kwa mshtuko 

AISHA "mume wangu!!!!!!!!!!!!!"

DUH KUMBE NI MKE WA LUCAS NA DADA WA HUSNA  AITWAE AISHA........ 
USIKOSE SEHEMU YA PILI NDUGU MSOMAJI  HAPA HAPA......



Tuesday, August 15, 2017

Penzi shubiri 1

Sehemu ya Kwanza
 

Julai 22, 2004 – Moshi, Kilimanjaro.
NILIKUWA nimejilaza kwenye sofa kubwa, nikiwa nimevaa bukta yangu nyepesi na flana ya kukata mikono, kifuani mwangu kulining’inia cheni ya dhahabu iliyong’ara barabara, huku macho yangu nikiwa nimeyaelekeza kwenye TV yangu kubwa ya rangi iliyokuwa pale sebuleni kwangu, iliyokuwa inaonyesha mwanadada mrembo Celine Dion na wimbo wake wa I’m Alive. Wimbo huo kipenzi changu cha moyo wangu, Josephine alikuwa anaupenda sana. Nikatamani atoke mapema huko bafuni ili auone na kuusikiliza.

Ghafla simu ya mpenzi wangu, Josephine ambayo ilikuwa pale mezani iliita! Sikung’amua mara moja kuwa ilikuwa ni simu au ni ujumbe mfupi wa maneno. Kwa kuwa mimi na mpenzi wangu Josephine tunaaminiana, niliamua kuiendea simu ili nipokee!
Baada ya kuifikia niligundua ilikuwa siyo simu bali ni ujumbe mfupi wa maneno. Ilikuwa ni kawaida yetu kila mmoja kuangalia simu ya mwenzake, kutokana na sababu hiyo, sikuona woga kufungua ule ujumbe mfupi uliokuwemo na kuanza kusoma.

Kila nilipomaliza kusoma neno moja, ndivyo jazba ilivyozidi kunipanda. Nusura nipate uchizi. Uso wangu ulikuwa umechora makunyanzi makubwa mithili ya matuta kutokana na jazba iliyokuwa inaendelea kunipanda kila nukta moja ilipoondoka.
Sikuamini yaliyotokea kuwa ni kweli au nilikuwa ndotoni, nilikuwa naombea iwe ndoto na sio kweli. Hasira ikanijaa. Unaweza kudhani labda ni hadithi ya kufikirika, lakini haikuwa hivyo bali ilikuwa ni ukweli halisi.

“Shit…! Huyu mpuuzi ananitania siyo? Ngoja atoke huko bafuni,” niliwaza.
Nilikaa kimya nikiwa nimeishikilia ile simu, nisijue la kufanya. Niliduwaa. Nikawa namsubiri kwa hamu sana atoke bafuni ili anieleze vizuri.
Kitambo kidogo Josephine akatamalaki sebuleni mwangu akiwa na upande mmoja wa khanga ya Zanzibar, meno yake meupe aliyaachilia kinywani mwake. Utepe wa maji kwenye khanga yake uliosababisha kuuchora umbo la mwili wake kama lilivyo, lilimfanya aonekane mzuri.
Ni kweli alikuwa mzuri!
Alitegemea kunipagawisha kwa umbo lake. Ndivyo anavyofanya mara nyingi. Lakini sasa hakuwa na thamani tena mbele yangu. Nilikuwa namwonea kinyaa!

Akanisogelea pale nilipokuwa na kuanza kunipigapiga kifuani huku akichezea garden love yangu.
Nikamwonya!
“Naomba niache tafadhali!” nilimwambia, akadhani namtania.
“Una nini tena honey?”aliniuliza kwa sauti yake ya mahaba.
Sauti hiyo ilikuwa na thamani zamani na siyo sasa. Sasa ilikuwa ni kero na makelele masikioni mwangu.
Sikumjibu.

“Mbona unakuwa hivyo Masumbuko? Au kuna taarifa ya msiba umesikia?”
Akaniongezea hasira mara mbili, nilimwambia neno moja tu.
“Ondoka mbele yangu Jose…”
Hakusikia!
Nikamwonya tena, hakujali, akabetua midomo yake akaniambia:
“Lakini mpenzi kwani kun…….” sikumpa nafasi ya kumalizia ujinga wake, nilimgeukia kisha nikamwangalia kwa hasira kali ambayo ilikuwa wazi kabisa kisha nikamsindikiza na kibao kikubwa kilichompata bara-bara usoni mwake. 
Akaanza kulia, tena kwa sauti ya juu, nikaenda mpaka mlangoni nikaufunga mlango wangu na kurudi tena ndani.
“Hivi ni kitu gani umetaka nikakunyima wewe mwanaharamu?” nilimwuliza kwa hasira.
“Yaani leo umefika hatua ya kuniita mimi mwanaharamu…..eti. …Masumbuko uharamu wangu ni nini haswa niambie basi!” alianiambia kwa kunikaripia huku akiendelea kulia kilio cha kwikwii.
“Unataka kujua uharamu wako siyo?” Nilihoji kwa hasira.
“Nd..i..ooo,” akaniambia.

“Nd…i…oooooooooo,” nikamjibu kwa kejeli.
Nikampa ile simu na kumwonyesha ile meseji na kumwambia aisome kwa sauti!
Hakusoma kwa sauti!
Aliogopa!
Alivyomaliza tu aliniangukia miguuni mwangu na kunitaka radhi, huku akidai kuwa ni wapambe wasiopenda mapenzi yetu ndiyo wanataka kutuchonganisha.

“Mimi siyo mpuuzi kama unavyodhani, wala mimi si limbukeni wa mapenzi kiasi hicho, haiwezekani mapenzi yaniumize na kuninyanyasa kiasi hiki, yaani mimi ninakupenda kwa moyo wangu wote nakugharamia kwa kila utakacho, nafanya kazi usiku na mchana ili nimudu kukutimizia mahitaji yako yote, lakini wewe leo hii unanifanyia hivi sio? 
“Sawa mimi sina haja nawe tena, endelea na maisha yako kama kawaida, sawa Josephine?” nilimwambia kwa hasira huku nikiwa nimeishika ile simu yake mkononi mwangu.
Hasira ilinishika, jazba ikanipanda, hamu ya kuendelea na Josephine ilinitoka kabisa. Nilimwonea kinyaa, nilihisi harufu ya damu, tena damu mbichi! Sio siri sikumuhutaji tena Josephine.

Midomo ya Josephine ikaanza kutingishika, alikuwa kama anamung’unya mamung’unya! Akaanza kuongea!
“Sikiliza nikuambie Masumbuko ni wambea hao ambao hawapendi mapenzi yetu yaendelee, mimi sina mwingine zaidi yako mpenzi wangu Masu…naomba uniamini tafadhali mpenzi wangu usiniache tafadhali mpenzi nakuomba,” aliniambia huku machozi yakimtiririka mashavuni mwake mithili ya vijito vidogo. 
Alikuwa akilia umbea, kwani si ni kweli kuwa aliandikiwa ujumbe kwenye simu yake akitakiwa kukutana na huyo mpuuzi mwenzake kwenye nyumba ya kulala wageni.

“Sidhani kama kuna utakachoniambia nikuelewe, unalia unafiki tu kwa hiyo wewe una marafiki wanafiki? Sawa labda unao na ukayaandika majina yao kwenye simu yako sio?” nilimwuliza kwa jazba ya wazi kabisa ambayo hapakuwa na njia ya kuficha hasira yenyewe.

Baada ya kumshawishi kwa muda mrefu aniambie ukweli aliamua kunieleza ukweli halisi.
“Samahani sana mpenzi ni tamaa tu ndio imeniponza, ni kweli kuwa nina mahusiano na Gabby lakini alinishawishi kwa pesa zake naomba unisamehe na kuanzia leo naachana naye kabisa…naomba uniamini mpenzi,” ilikuwa ni kama ndio amewasha moto wa kifuu nikamvutia nje na kumtoa chumbani mwangu.

Ghafla nilikurupuka usingizi. Nikapekecha macho mara kadhaa, nilikuwa nahema sana, ilikuwa ni ndoto! Ni ndoto lakini ilikuwa ni tukio lililowahi kunitokea kipindi cha nyuma. Hakika sikuipenda ile ndoto, kwa sababu ilikuwa inanikumbusha machungu ambayo nilikuwa nimeshayasahau.
Nilichukia, nikaanza kulia! Baada ya muda niliona kulia sio suluhisho. Nikanyamaza.
Nikayatupa macho yangu kwenye saa iliyokuwa ukutani, ilionyesha kuwa ilikuwa tayari ni saa kumi na mbili unusu za asubuhi.
Macho yanitoka pima!

Baada ya kushtuka nilitulia kwa muda, nikatingisha kichwa kwa nguvu kisha nikatumbulia macho saa yangu ya ukutani, sikuamini nilichokiona kwenye saa yangu, haikuwa kawaida yangu kuchelewa kuamka kiasi kile. Nilishazoea kuamka saa kumi na moja kamili za alfajiri kila siku.

Sikutaka kupoteza muda niliingia maliwatoni na kujiswafi kabla ya kujitayarishia kifungua kinywa mezani. Baada ya kupata kufungua kinywa niliingia kabatini na kuchagua nguo maridadi za kuvaa. Baada ya kuvaa nikakiendea kioo ili kunihakikishia umaridadi niliokuwa nao. Ebwana…eh! Si-mchezo, kweli nilipendeza haswa.

Muda mfupi baadaye tayari nilikuwa nimeshafika kwa mzee Moringe, sehemu ambayo huwa ninapaki gari langu baada ya mizunguko ya siku nzima ya kutafuta abiria ambao kwa hakika si wote huwa wastaarabu.
“Shikamoo,” nilimsalimia mara baada ya kunifungulia geti.
“Marhaba Masumbuko, umechelewa sana leo, sio kawaida yako nini kimekusibu?” aliniuliza  mzee Moringe kwa utani na kejeli.
Mzee Moringe anapenda sana mizaha ingawa ni kweli nilichelewa lakini aliamua kunichemsha bongo kidogo.
“Ah! Nilipitiwa tu mzee, usingizi wa leo kiboko!” nilimwambia.
Mzee Moringe huwa ana kawaida ya kulaza magari nyumbani kwake, alijenga eneo kubwa lenye uzio na walinzi wawili wakakamavu maalum kwa ajili ya kazi hiyo ya ulinzi wa magari.

Tayari mvi zilianza kutapakaa karibu kila eneo la kichwa chake. Nilimpatia fedha zake akanipa stakabadhi nikawasha gari nikatoweka maeneo yale kabisa.
Muda mfupi baadaye nilikuwa nimeshafika katika kituo changu cha kusubiri abiria, eneo la kituo cha mabasi ya mikoani mjini Moshi. Kipindi hicho nilikuwa naishi Oysterbay. Kabla hata sijafikisha dakika tano tangu nifike pale kijiweni kwangu, simu yangu ya mkononi iliita. Niliingiza mkono mfukoni na kuitoa. 
Jina nilokutana nalo kwenye kioo cha simu yangu lilikuwa faraja kubwa sana kwangu. Jina lile lilinipa uhakika wa kuishi maisha ya starehe kwa siku mbili tatu hivi, kwenye kioo cha simu kilionyesha jina lililoandikwa Shams.
Huyu ni mfanyabiashara ambaye kila alipokuwa akija Moshi hunichukua kwa siku zote atakazokuwa hapa nikimpeleka kila kona ya sehemu aliyotaka. Alinilipa ujira wa kutosha na starehe za kila aina.
Nikambonyeza kitufe cha kupokea simu nikaanza kuzungumza na sauti ya upande wa pili.
“Haloo!” Ndio sauti iliyopenyeza kwenye ngoma za masikio yangu.
“Haloo bro Shams vipi?”
“Salama mimi nimeshafika hapa Moshi nipo hotelini naomba uje tafadhali kuna mahali nataka kwenda.”
“Sawa bro…kwa hiyo umefika lini? Nilijidai kumbamiza swali.”

“Jana jioni… weka mafuta full tank.”
 “Sawa bro, nipe dakika tatu nitakuwa hapo.”
“Sawa!”
Tukakata simu zetu.
Nilivuta pumzi ndefu na kuzishusha taratibu, udenda wa furaha ukaanza kunitoka sikumuaga mtu yeyote pale kijiweni, nilichokifanya ni kuingia garini, nikawasha, nikaingiza gia namba moja nikatokomea kwenye kituo cha mafuta.

Kitambo kidogo nilikuwa hotelini kwa Shams, nikaegesha gari nikatoa simu yangu, nikapekua kwenye orodha ya majina yaliyopo kwenye simu, nilipokutana na jina la Shams nikabonyeza kitufe cha kupiga simu. Baada ya mazungumzo yangu na Shams aliniambia tayari ameshajitayarisha hivyo nimsubiri pale pale nje.
Muda si muda Shams akatamalaki akiwa amevaa suruali maridadi ya kijivu, shati la rangi ya damu ya mzee, viatu vilivyochongoka mbele, kifuani ilining’inia tai maridadi kabisa kiufupi ni kwamba Shams alipendeza haswa!

“Za siku nyingi bwana?” Ndio swali la kwanza kuniuliza baada ya kuniona.
“Salama habari za wapi? Mbeya, Tanga, Dar, Iringa… au…”
kabla sijamalizia sentensi yangu alishadakia.
“Nimetoka Dodoma bwana!” alibainisha.
“Ok! Habari za Dom?” Nilimwambia huku nikijichekesha.

“Nzuri tu, sasa nipeleke Soweto kwanza nikamsalimie mtoto Linna baada ya hapo tutakwenda Majengo nikamsalimie Halima. Halafu ratiba nyingine tutapanga baadaye!” alisema.
“Sawa brother!”
Gari sikuwa nimelizima !

Lilikuwa silence!
Nikaingia garini nikatupia gia, nikaondoa gari. Safari ya Soweto ikaanza. Haikuchukua muda mrefu tulikuwa getini mwa nyumba anayoishi mrembo Linna.
Nilipiga honi mfululizo mpaka Linna akaja kufungua geti.
Linna kweli kiboko!
Alikuwa Linna kweli!
Binti wa Kitanga, mtoto mweupe asiye na doa, siyo mrefu, wala sio mfupi. Asikudanganye mtu Linna alikuwa mrembo haswa!
Huko nyuma balaa!
Mtoto wa watu alikuwa kajaliwa, nisije kusahau miye nikawanyima uhondo, tabasamu lake mh! Usisikie. Kila akiachia tabasamu vijishimo huonekana mashavuni mwake.
Lafudhi yake ya kitanga ndio-funga kazi, akianza kuzungumza utatamani aendelee kuzungumza huku ukimsikiliza kwa makini neno moja-moja likiburudisha ngoma za masikio yako.
Sijui kama ni kweli!
Ila mimi naamini hivyo!
Sasa, sio lazima na wewe uamini kama mimi, lakini mapenzi ya siku hizi pesa bwana. Nadhani pesa ndio zimesababisha Shams akawa na ujasiri wa kumtongoza binti mrembo kama Linna. Pesa hizo hizo ndizo zilizomfanya Linna kumkubali Shams.
Ebwanae, pesa sabuni ya roho rafiki yangu.
Baada ya mlango mdogo wa geti kufunguliwa nyuso zetu zilikutana na sura yenye furaha na bashasha haswa! Alikuwa Linna na upande wa khaga nyepesi macho yetu kwa pamoja yalipata burudani bila malipo yeyote!
“Karibuni jamani!” ndio neno alilotamka baada ya kutuona.
“Ahsante!” tuliitika kwa pamoja.
Lina aliusogelea mlango wa gari akaufungua ili Shams atoke.
Shams akatoka!
Ile kutoka tu, akarukiwa almanusra ule upande wa khanga udondoke chini, wakabaki wamekumbatiana kwa takribani dakika nzima na sekunde kadhaa, macho ya husuda yakinitoka, mshawasha wa mapenzi ukanipanda nikatamani mimi ndio niwe Shams.
Nilimwonea wivu!
Ghafla wakaachiana.
Linna akaingia ndani, Shams akanisogelea kisha akafungua pochi yake akatoa noti tatu za shilingi elfu kumi kumi, akanikabidhi.
Sikuamini!
Ndiyo ilivyokuwa!
Nikawa kimya nisijue nini cha kufanya, midomo ya Shams ikafunguka. Akaanza kuzungumza.

“Sasa, Masumbuko endelea na mizunguko yako nitakupigia nikikuhitaji baadaye ila jiandae vizuri usiku tutakwenda club au vipi?” aliniambia kwa mapozi ya kipesa.
Ni halali pia kuwa na mapozi ya kipesa kama yale kwa sababu alikuwa nazo.
“Sawa!” niliitika.
Nilimsindikiza kwa macho mpaka akatokomea ndani. Nifanye nini sasa, zaidi ya kuwasha gari na kuondoka?
Nikatambaa zangu!
***

Baada ya kufanya mipango yote kwa siri, tuliamua tukapumzike Marangu Mtoni, twende huko siku ya week-end tukafurahie maisha!
Kila nikiufikiria uzuri wa Linna nazidi kuchanganyikiwa, siyo siri Linna ni mrembo jamani! Tamaa ya mapenzi ilinizidi, mshawasha wa mapenzi ukanipanda nikaamua kumweleza hisia zilizoko katikati ya moyo wangu.

MAHABA NIMALIZE


mwanga ulioanza kupenya katika dirisha na kufanya miale ya jua ipite kati kati ya uwazi wa pazia lili fanya Ramsey afumbue macho na kugundua tayari kumekucha.
kilicho mshangaza kabisa ni saa yake ya mezani hata ilipo lia hakuweza kuisikia kuto kana na uchovu mwingi.
aliinuka kiuvivu na kuvuta taulo ambapo pembeni alichukua ndoo yenye maji na kutoka nayo nje.na kuwa pita wapangaji wenzake ambao walikua akina mama wawili wana osha vyombo nje pale kwenye sink
"mmh huyu mkaka tangu aamie hapa,sija wahi hata kusikia sauti yake"
aliongea mama huyo kwa sauti ya chini huku akiwa ana mwongelesha mwenzake.
"hata mimi mwenzangu kauzu kama nini, au subiri Mama khadija mimi nita muanza subiri atoke bafuni."
"huna dogo ngoja mumeo akusikie"
"kwani si kujuana tu"
Urefu wa wastani wa Ramsey uliyo beba kifua chake vizuri na kufanya kiji gawe ulizidisha uta nashati sio ivyo tu hata macho yake makubwa ndo kabisa yalikua ugonjwa kwa jinsia ya kike.
baada ya kumaliza kuoga alibeba ndoo yake mkononi na kutoka bafuni akiwa pita wakina mama wale bila kuwa semesha.
"Kaka habari yako?"
"safi"
alijibu Ramsey tena kiufupi huku akiendelea kutembea akiwaacha wakina mama wale wabaki kuishangaa tatoo ya mnyama aina ya simba mgongoni kwake..
aliji andaa haraka haraka huku aki chomekea shati lake vizuri na mwishowe aka jipulizia marashi tayari kwa safari.
alifungua mlango na kutoka nje ambapo aliita bajaji impelekee karikoo.
"BABY UPO WAPI NIME KUMISI SANA NJOO OM NAKUOMBA JAMANI"
ulikua ni ujumbe mfupi uliyo someka juu ya kioo cha simu ya Ramsey baada ya kuusoma ujumbe uo aliweka simu mfukoni..
ila aliitoa tena baada ya kuita alivyo iangalia aliipokea na kuiweka sikioni.
"Ram upo wapi?"
"nipo naenda job"
"njoo mpenzi wangu"
"si nime kwambia naenda job Doreen"
"mi nita kulipa basi njoo bana. jamaa kasha ondoka"
"aya nakuja basi nakuja sasa hivi"
"oyaaa geuza tuelekee mikocheni"
"pesa ina ongezeka lakini"
"wewe twende hakuna shida"
"mikocheni ipi?"
"Kwa walioba"
kweli dereva huyo wa bajaji aligeuza na safari ya mikocheni kuanza..
takribani dakika Arobaini wali kua tayari wapo Mikocheni. Ramsey alishuka na kumpa dereva yule wa bajaji ela yake.
Kwa kua aliiijua vizuri nyumba ya Doreen aliingia moja kwa moja getini na kumkuta Doreen akiwa na kanga moja tu. Weupe wa mwana mke huyo wa kinyasa hasa na umbo lake lililo jigawa vizuri lili mfanya Ramsey asisi mke mwili.
bila kuuliza chochote Doreen alimrukia Ramsey mdomoni na kuanza kumpa denda.
Ramsey haku fanya makosa kwa kutumia mkono wake wa kulia alianza kumpapasa Doreen kuanzia kwenye masikio na taratibu kuanza kushuka.
alianza kumnyonya shingo na kumfanya Doreen aanze kupiga kelele za raha.
kwa nguvu alimbemba Doreen na kumlaza juu ya kochi huku akifakamia chuchu zake ambazo alianza kuzi lamba kiufundi aki tumia ulimi.
"aaaaaah mmmmh Raaaam"
miguno ya raha ilianza kumtoka Doreen huku akiitolea sauti hiyo puani.
Kwa upande wa mwana mke huyo nayeye haku taka kushindwa alichukua mkono wake na kuanza kuishika kombola ya Ramsey na kumfanya Azidi kupata moto ya kuya nyonya maziwa ya Doreen..
Doreen alifungua zipu na kuiweka kombola ya Ramsey mdomoni huku akiilamba kama koni taratibu sana.Pata shika lile liliendelea kila mtu akiji tahidi kumuonesha mwenzake nani zaidi.
taratibu Doreen alianza kumvua shati na mwishowe kanga ile ika tolewa na wote kubaki kama walivyo zaliwa.
Itaendelea....

Sunday, August 13, 2017

MIAKA 13 TOKA KIFO CHA PATRICK BALISIDYA


Jina Patrick Balisdya halitakuwa geni kabisa kwa wadau wa blog hii,lazima roho zimeanza kuwadunda kama inavyokuwa kwangu kila nikimkumbuka Blai. Patrick Pama Balisidya alizaliwa Mvumi Dodoma tarehe 18 April 1946. Kabila lake alikuwa Mgogo , kabila ambalo lina wanamuziki wengi maarufu kutokana na muziki kuwa sehemu muhimu ya maisha ya kabila hilo. Mama yake alikuwa anapiga kinanda kanisani na hivyo basi kutokana na asili ya kabila lake na pia kutokana na mama yake, hakika huyu angeweza kujisifu kuwa muziki uko katika damu yake. Mdau mmoja alitutaarifu kuwa Balisidya alikuwa kiongozi wa Bendi ya shuleni kwake Dodoma secondary School. Ambapo kutoka hapo alijiunga na Chuo cha Ufundi , na baada ya kumaliza mafunzo alifanya kazi hiyo kwa muda na 1967 akawa tayari anapiga muziki Dar Es Salaam Jazz B. Bendi hii ilikuwa inafanya kazi nzuri hivyo kuanza kuwa tishio kwa bendi kongwe Dar Jazz, na hivyo uongozi wa Dar Jazz ukaamua kuivunja bendi hiyo kabla haijaipoteza kabisa bendi kaka. Patrick hakufurahishwa kwa hiyo kufikia mwaka 1970 Patrick alikuwa ameanzisha kikosi chake mwenyewe Afro70, kikiwa na mtindo wake Afrosa. Alikuwa mbunifu katika muziki wake, na kwa muda mrefu alikwepa sana kuingia katika wimbi la kufuata mapigo ya Kikongo kitu ambacho hata wakati huo bendi nyingi zilikifanya, japokuwa kukutana na Franco wakati alipofanya moja ya ziara zake nchini humu 1973 kulimfanya abadili mtindo kwa kipindi kifupi na katika nyimbo moja wapo aliiga kabisa solo la Franco alilolipiga kwenye wimbo wake Georgette. Afro70 iliwakilisha wanamuziki wa Tanzania katika maonyesho ya mtu mweusi Lagos, Nigeria. (FESTAC festival 1977).  Baada ya kushinda safari ya kwenda Festac Afro 70 walianza kuzunguka mikoani kuonyesha umahiri wao, na hii ilikuwa kwa agizo la serikali, bahati mbaya wakati wa kurudi Dar gari lao lilipata ajali na vyombo vyake vyote vilihalibika katika ajali ya gari. Serikali ilikuwa imenunua vyombo vipya kwa ajili ya kuanzisha bendi ya Wizara ya Utamaduni wakati huo, vyombo hivyo ilikabidhiwa Afro 70 kuvitumia FESTAC. Aliporudi kutoka Nigeria Patrick aliamuliwa arudishe hivyo vyombo serikalini. Pia baada ya kurudi Festac bendi ilianza kusambaratika na kitendo cha kunyang'anya vyombo ilikuwa  kutangaza rasmi kifo cha Afro70. Vyombo hivyo vilitumika kuanzisha bendi ya Asilia Jazz ambayo ilikuwa Bendi ya Wizara ya Utamaduni na Vijana. Balisdya alitumia muda mwingi kujaribu kudai haki yake hiyo ambayo ilimkwepa mpaka mwisho wa maisha. Mwaka 1979, Balisidya alikwenda Sweden na kushirikiana na kikundi cha Archimedes akatoa album nzuri sana iliyoitwa Bado Kidogo. Kuna wakati Patrick alijiunga na Orchestre Safari Sound, (Masantula) na kupiga piano katika ule wimbo maarufu, ‘Unambie siri’, Patrick pia alikuwa mpigaji mahiri wa keyboards na gitaa. Kwa kweli nyimbo za Patrick zilizokuwa juu katika chati ni nyingi. Harusi, Dirishani, Weekend, Tausi, Pesa, Nakupenda kama Lulu, Ni mashaka na mahangaiko, Afrika. Patrick alifariki tarehe 7, Agosti 2004 na kuzikwa 12 Aug katika makaburi ya Buguruni Malapa. Daima tutakukumbuka Patrick Pama Balisidya, Mungu akulaze pema peponi