HATIMAE mwanamuziki mkongwe mpiga gitaa muimbaji na mtunzi mahiri Shem Ibrahim Karenga amezikwa katika makaburi ya Kisutu jioni ya leo. Shughuli hiyo ilianza kwa utata baada ya kuwa makaburini hapo kulikuwa na misiba minne hivyo kila lilipokuja jeneza wanamuziki, ndugu na wapenzi wa muziki walijikuta wakisindikiza jeneza na..........INAENDELEA HUKU
No comments: