EXCLUSIVE- ANGALIA PAMBAMOTO LILIVYOKUWA LIKICHEZWA MIAKA YA 90 -VIDEO
VIJANA DAY kila Jumapili mchana Vijana Jazz Band walikuwa wakipiga katika ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni na hii ilikuwa mojawapo ya raha ukumbini. Aina ya uchezaji hakika ni tofauti na leo. Jukwaani wapiga magitaaMiraji Shakashia- soloJohn Kitime- RythmManitu Musa - BassDrums- Juma ChokaSax Rashid Pembe na Said Mohamed NdulaTrumpet- Mawazo Hunja na TubaUimbajiJerry Nashon, Mohamed Gotagota, na Abdallah Mgonahazelu TOA MAONI
No comments: